Ashish Kamania
Kriketi wa Tanzania
Ashish Kamania (alizaliwa 28 Machi 1990) ni mchezaji wa kriketi wa Tanzania. [1] Aliitwa katika kikosi cha Tanzania kwa ajili ya mashindano ya Ligi ya Kriketi ya Dunia ya daraja la tano 2016 huko Jersey, [2] akicheza katika mechi nne. [3]
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Ashish Kamania | |
Tarehe ya kuzaliwa | 28 Machi 1990 | |
Mahala pa kuzaliwa | ||
* Magoli alioshinda |
Marejeo
hariri- ↑ "Ashish Kamania". ESPN Cricinfo. Iliwekwa mnamo 4 Mei 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ (12 May 2016). "Tanzania national Cricket team off for ICC World Div 5 duel" Ilihifadhiwa 4 Juni 2016 kwenye Wayback Machine. – Daily News (Tanzania). Retrieved 12 May 2016.
- ↑ "Records, ICC World Cricket League Division Five, 2016 - Tanzania: Batting and bowling averages". ESPN Cricinfo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-22. Iliwekwa mnamo 4 Mei 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)