Jersey ni kisiwa kikubwa kati ya Visiwa vya mfereji wa Kiingereza chenye wakazi 90,000. Kipo karibu na pwani la Ufaransa lakini ni eneo chini ya taji la Uingereza isipokuwa si sehemu ya Uingereza mwenyewe.

Mahali pa Visiwa vya Mfereji wa Kiingereza
Jersey

Mji wa pekee ni Saint Helier.

Lugha zinazotumiwa ni hasa Kiingereza, Kifaransa na pia Kijersey (Jèrriais) lakini lugha hii ya kienyeji imebaki na wasemaji wachache.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jersey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.