Assam
Assam ni jimbo ya Uhindi.

Mahali pa Assam katika Uhindi
Iko upande wa kaskazini mashariki mwa India, ikipakana na Bangladesh na Buthan.
Eneo lake ni kilomita mraba 78,438 na wakazi wake ni 31,205,576 (2011).
Tazama piaEdit
Viungo vya njeEdit
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Assam kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |