Stashahada (pia diploma kutoka Kilatini kupitia Kiingereza) ni kama cheti cha elimu chenye maana ya maelezo mafupi juu ya kuhitimu masomo. Stashahada kwa baadhi ya Mataifa kusomwa na watu walio maliza Astashahada au wale walio maliza Elimu ya upili ya juu na hawakuwa na kigezo cha kujiunga na Shahada ya Kwanza

Stashahad


Makala hii kuhusu "Stashahada" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stashahada kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.