Aster Vranckx
Mchezaji mpira wa Ubelgiji
Aster Jan Vranckx (alizaliwa 4 Oktoba 2002)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ubelgiji, ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya VfL Wolfsburg inayoshiriki ligi kuu ya Bundesliga nchini Ujerumani pamoja na timu ya taifa ya Ubelgiji.

Marejeo
hariri- ↑ "KV Mechelen schiet in actie en geeft 16-jarig talent zijn eerste profcontract". Voetbalkrant.com (kwa Kiholanzi). 2018-12-03. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aster Vranckx kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |