Kalunguyeye

(Elekezwa kutoka Atelerix)
Kalunguyeye
Kalunguyeye tumbo-jeupe (Atelerix albiventris)
Kalunguyeye tumbo-jeupe (Atelerix albiventris)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Eulipotyphla (Wanyama kama kalunguyeye)
Familia: Erinaceidae (Wanyama walio na mnasaba na kalunguyeye)
Nusufamilia: Erinaceinae
Ngazi za chini

Jenasi 5, spishi 6 katika Afrika:

Kalunguyeye ni wanyama wenye miiba wa nusufamilia Erinaceinae katika familia Erinaceidae.

Wanyama wengine walio na miiba ni nungunungu na ekidna, lakini hawa hawana mnasaba mmoja na kalunguyeye. Nungunungu wamo katika oda ya wagugunaji (Rodentia) na ekidna katika oda ya mamalia wanaotaga mayai (Monotremata).

Mara nyingi kalunguyeye huitwa walawadudu (oda ya zamani Insectivora). Kwa kweli hula wadudu na arithropoda wengine, nyungunyungu, konokono, vyura, nyoka, mayai ya ndege, mizoga, nyoga, mizizi ya nyasi, beri na matikiti.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za mabara mengine

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: