Kalunguyeye
(Elekezwa kutoka Paraechinus)
Kalunguyeye | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kalunguyeye tumbo-jeupe (Atelerix albiventris)
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 5, spishi 6 katika Afrika:
|
Kalunguyeye ni wanyama wenye miiba wa nusufamilia Erinaceinae katika familia Erinaceidae.
Wanyama wengine walio na miiba ni nungunungu na ekidna, lakini hawa hawana mnasaba mmoja na kalunguyeye. Nungunungu wamo katika oda ya wagugunaji (Rodentia) na ekidna katika oda ya mamalia wanaotaga mayai (Monotremata).
Mara nyingi kalunguyeye huitwa walawadudu (oda ya zamani Insectivora). Kwa kweli hula wadudu na arithropoda wengine, nyungunyungu, konokono, vyura, nyoka, mayai ya ndege, mizoga, nyoga, mizizi ya nyasi, beri na matikiti.
Spishi za Afrika
hariri- Atelerix albiventris, Kalunguyeye Tumbo-jeupe au wa Kawaida (Four-toed hedgehog)
- Atelerix algirus, Kalunguyeye Kaskazi (North African hedgehog)
- Atelerix frontalis, Kalunguyeye Kusi (Southern African hedgehog)
- Atelerix sclateri, Kalunguyeye Somali (Somali hedgehog)
- Hemiechinus auritus, Kalunguyeye Masikio-marefu (Long-eared hedgehog)
- Paraechinus aethiopicus, Kalunguyeye-jangwa (Desert hedgehog)
Spishi za mabara mengine
hariri- Erinaceus amurensis (Amur hedgehog)
- Erinaceus concolor (Southern white-breasted hedgehog)
- Erinaceus europaeus (European hedgehog)
- Erinaceus roumanicus (Northern white-breasted hedgehog)
- Hemiechinus collaris (Indian long-eared hedgehog)
- Mesechinus dauuricus (Daurian hedgehog)
- Mesechinus hughi (Hugh's hedgehog)
- Paraechinus hypomelas (Brandt's hedgehog)
- Paraechinus micropus (Indian hedgehog)
- Paraechinus nudiventris (Bare-bellied hedgehog)
Picha
hariri-
Kalunguyeye kaskazi
-
Kalunguyeye kusi
-
Kalunguyeye Somali
-
Kalunguyeye masikio-marefu
-
Kalunguyeye-jangwa
-
Amur Hedgehog
-
Southern white-breasted hedgehog
-
European hedgehog
-
Northern white-breasted hedgehog
-
Brandt's hedgehog
Viungo vya nje
haririWikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Marejeo ya kalunguyeye kwa Makumbusho ya Zoolojia ya Chuo Kikuu cha Michigan
- Maarifa ya kalunguyeye Ilihifadhiwa 6 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Kutunza kalunguyeye Ilihifadhiwa 16 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.
- Habari za asili ya Kalunguyeye wa Ulaya Ilihifadhiwa 22 Julai 2018 kwenye Wayback Machine.