Atlasi

(Elekezwa kutoka Atlas)

Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Atlas (maana)

Ramani ya Dunia katika atlasi ya kwanza ya kisasa iliyotungwa na Ortelius - Theatrum Orbis Terrarum (1570)

Atlasi ni mkusanyo wa ramani zinazounganishwa pamoja kwa umbo la kitabu. Siku hizi zinapatikana pia kwa umbo la elektroniki kwa matumizi ya kompyuta au kwenye intaneti.

Kwa kawaida atlasi huwa na ramani mbalimbali za nchi, bara au Dunia yote. Kuna pia atlasi za anga zinazoonyesha nyota. Neno linatumiwa pia kwa mkusanyo wa michoro ya anatomia ikionyesha mifupa au viungo vya mwili.

Atlasi huonyesha ramani za aina tofautitofauti kama tabia za kijiografia, kisiasa au kiuchumi.

Mifano ya atlasi

hariri
Karne ya 17 na mapema
Karne ya 18
  • Cartes générales de toutes les parties du monde (Ufaransa, 1658-1676)
  • Britannia Depicta (London, 1720)
  • Atlas Nouveau (Amsterdam, 1742)
  • Cary's New and Correct English Atlas (London, 1787)
Karne ya 19
Karne ya 20

Viungo vya Nje

hariri

Vyanzo

hariri

Atlasi kwenye intaneti

hariri

Historia ya atlasi

hariri

Atlasi za Kihistoria katika intaneti

hariri

Viungo vingine

hariri