Atlasi
Kwa matumizi tofauti ya jina hili tazama Atlas (maana)
Atlasi ni mkusanyiko wa ramani zinazounganishwa pamoja kwa umbo la kitabu. Siku hizi zinapatikana pia kwa umbo la elektroniki kwa matumizi ya kompyuta au kwenye intaneti.
Kwa kawaida atlasi hua na ramani mbalimbali za nchi, bara au Dunia yote. Kuna pia atlasi za anga zinazoonyesha nyota. Neno linatumiwa pia kwa mkusanyiko wa michoro ya anatomia ikionyesha mifupa au viungo vya mwili.
Atlasi huonyesha ramani za aina tofautitofauti kama tabia za kijiografia, kisiasa au kiuchumi.
Mifano ya atlasi
hariri- Karne ya 17 na mapema
- Piri Reis Map (Milki ya Ottomani, 1570-1612)
- Theatrum Orbis Terrarum (Uholanzi, 1570-1612)
- Dell'Arcano del Mare (Uingereza - Italia, 1645-1661)
- Cartes générales de toutes les parties du monde (Ufaransa, 1658-1676)
- Britannia Depicta (London, 1720)
- Atlas Nouveau (Amsterdam, 1742)
- Cary's New and Correct English Atlas (London, 1787)
- Stielers Handatlas (Ujerumani, 1817-1944)
- Andrees Allgemeiner Handatlas (Ujerumani, 1881-1939; pia katika Uingereza kwa jina la Times Atlas of the World, 1895)
- Rand McNally Atlas (Marekani, 1881-hadi sasa)
- Times Atlas of the World (Uingereza, 1895- hadi sasa)
- Atlante Internazionale del Touring Club Italiano (Italia, 1927-1978)
- Atlas Mira (Urusi, 1937-hadi sasa)
- Gran Atlas Aguilar (Hispania, 1969/1970)
- Pergamon World Atlas (1962/1968)
- National Geographic Atlas of the World (Marekani, 1963-hadi sasa)
- Historical Atlas of China (China)
Viungo vya Nje
haririVyanzo
hariri- Kuhusu asili ya istilahi "Atlas" Ilihifadhiwa 26 Julai 2020 kwenye Wayback Machine.
Atlasi kwenye intaneti
hariri- Gheos Worldguide, world atlas with maps and statistical information from all countries of the world.
- Microsoft/Encarta/Expedia World atlas, world atlas, plus atlas for North America and Europe to street level.
- MapChart EarthAtlas, free online atlas with interactive maps about topics like demography, economy, health and environment.
- Multimap World atlas: on UK, US, Canada, Australia and Western Europe more detailed than the rest of the world
- world atlas by country
- Atlas of the World Ilihifadhiwa 13 Machi 2017 kwenye Wayback Machine. A world atlas with hundreds of very detailed and elaborate maps
- Physical Atlas of the World Online world atlas with physical maps
- National Atlas of the United States Ilihifadhiwa 5 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Geospatial One-Stop Ilihifadhiwa 10 Juni 2007 kwenye Wayback Machine. geodata.gov
- Geography Network Ilihifadhiwa 23 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine.
- National Geographic MapMachine Ilihifadhiwa 28 Juni 2007 kwenye Wayback Machine.
- Tirolatlas An online atlas of North-, South- and Eastern-Tyrol (Austria), requires SVG capabilities in the browser.
Historia ya atlasi
hariri- Atlases, at the US Library of Congress site - a discussion of many significant atlases, with some illustrations. Part of Geography and Maps, an Illustrated Guide.
Atlasi za Kihistoria katika intaneti
hariri- Atlases at DavidRumsey.com includes many important atlases from the 18th-20th centuries, primarily from France, Germany, the United Kingdom and the United States. The site also presents maps from several centuries. About 13,600 high resolution images can be viewed and downloaded.
- Ryhiner Collection Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine. Composite atlas with maps, plans and views from the 16th to the 18th century, covering the whole globe, with about 16,000 images in total, including title pages of atlases Ilihifadhiwa 5 Oktoba 2007 kwenye Wayback Machine.
- 1645 Latin edition of Blaeu's Atlas Ilihifadhiwa 21 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. at UCLA (partial copy)
- Historical map web sites list, Perry-Castañeda Library, University of Texas
- Charting North America, maps and atlases in the New York Public Library Digital Collection
- maphistory.info links
- A historical atlas from 1815 till today, in French
- Historical Atlas of Europe from AD 1 to 2000
- Centennia Historical Atlas
- World History Maps at KMLA
- Historical and Political Maps of the Modern Age Ilihifadhiwa 17 Agosti 2012 kwenye Wayback Machine.
Viungo vingine
hariri- Live Maps: 2D and 3D interactive maps on live.com.
- Google Earth: a visual 3D interactive atlas.
- World Atlas Ilihifadhiwa 12 Aprili 2018 kwenye Wayback Machine.
- Atlas World: Ilihifadhiwa 30 Januari 2020 kwenye Wayback Machine. a directory of atlases currently in print.
- NASA's World Wind software Ilihifadhiwa 16 Desemba 2004 kwenye Wayback Machine.
- One Planet, Many People Ilihifadhiwa 27 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine. UN Atlas of the Human impact on the Environment
- Malaria Atlas Project Ilihifadhiwa 30 Machi 2015 kwenye Wayback Machine.
- InstantAtlas Create your own interactive atlas for any area