Atoroba Peni Rikito

Atoroba Peni Rikito, mjukuu wa mfalme Gbudwe, ni Mfalme wa Azende ambaye alipata taji tarehe 9 Februari 2022. [1]

King Atoroba Peni Rikito


Azende King
mtangulizi King Gbudwe Bazingbi
Aliingia ofisini 
09/02/2022

uraia South Sudan
utaifa South Sudanese
As of 9th. Feb. 2022
Mtukufu Mfalme Atoroba Peni Rikito Gbudue

Atoroba Peni Rikito alitawazwa kama Mfalme mpya wa Ufalme wa Azende baada ya miaka 117 ya kuishi bila mfalme tangu kifo cha Gbudwe.

Tanbihi

hariri
  1. "Atoroba crowned Azande King". Eye Radio (kwa American English). 2022-02-09. Iliwekwa mnamo 2022-10-20.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Atoroba Peni Rikito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.