Aurora
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Jina la Aurora hurejea mahali mbalimbali, k.m.
- Aurora, Colorado nchini Marekani;
- Aurora, Illinois nchini Marekani;
- jina la zamani la kisiwa cha Maewo nchini Vanuatu.
- Mianga ya aurora - mianga inayoonekana angani karibu na ncha za Dunia kama vyembe atomia kutoka Jua vinavuka uga sumaku wa Dunia