Ayanda Denge

Mwanamke aliyebadili jinsia na mfanyakazi wa jinsia wa Afrika Kusini

Ayanda Denge (alifariki 24 Machi, 2019) alikuwa raia wa Afrika Kusini aliyebadili jinsia na kuwa mwanamke, alikua mwathirika wa biashara ya ngono. Alikuwa mtetezi wa watu waliobadili jinsia, waathirika wa biashara ya ngono, na kukomesha ukahaba . [1] Alikuwa mwenyekiti wa kikosi kazi cha Elimu na Utetezi wa kazi za ngono cha Sex Workers Education and Advocacy Taskforce (SWEAT). Denge alisema kuwa, "kubadili jinsia ni ... dozi mara tatu ya unyanyapaaji na ubaguzi". [2]

Ayanda Denge
Amekufa 24 Machi, 2019
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake mfanyabiashara wa ngono

Maisha ya Awali

hariri

Denge alikuwa Mxhosa, na alikulia katika mji wa Port Elizabeth, katika Rasi ya Mashariki nchini Afrika Kusini. [3]

Denge alianza kazi Johannesburg, na baadaye alisafiri katika miji mingine ya kusini mwa Afrika ikiwa ni pamoja na Harare, Durban, Cape Town, Port Elizabeth, na Victoria Falls . [3] Alikuwa mfanyabiashara wa ngono kwa zaidi ya miaka 15.

Denge alifanya kazi kama mratibu wa uhamasishaji wa Harakati za Wafanyabiashara ya Ngono wa Sisonke (Sisonke Sex Worker Movement /Sisonke) kwa miaka miwili.

Marejeo

hariri
  1. Gontsana. "Housing activist killed in occupied Cape Town building", 26 March 2019. Retrieved on 25 May 2019. 
  2. "Transgendered sex workers face a triple threat of stigma - The Daily Vox". thedailyvox.co.za. 21 Julai 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 21 Novemba 2017. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. 3.0 3.1 "Ayanda Denge - SWEAT". sweat.org.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Novemba 2017. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ayanda Denge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.