Azimio la Dodoma ni makubaliano ya wanablogu wa Kiswahili wa Tanzania waliokutana jijini Dodoma kuhusu njia za kuendeleza blogu za wanablogu wa Tanzania kwa kuwa na maadili yanayoendana na utu, heshima, na kanuni za uandishi wa habari. Mkutano huo ulifanyika 7 Aprili 2006.

Picha ya Jiji la Dodoma
Jiji la Dodoma

Viuongo vya nje hariri