Aziz Kessous

Mwanasiasa wa Ufaransa

'Mohamed El Aziz Kessous alizaliwa Juni 25, 1903 na kufariki Mei 13, 1965, alikuwa mwanasheria, mwandishi wa habari, mtumishi wa serikali. Mwandamizi, mbunge na mwanaharakati wa haki sawa nchini Algeria. Alizaliwa mnamo Juni 25, 1903 huko Constantinois. [1] Na alifariki mnamo Mei 13, 1965 kufuatia ugonjwa wa muda mrefu na ilikuwa ni miaka mitatu baada ya uhuru wa Algeria.[2]

Mohamed El Aziz Kessous
Amekufa Mei 13, 1965
Nchi Algeria
Kazi yake mwanasheria , mbunge,mwandishi wa habari,Mwanaharakati

Alisoma Luciani high school Philippeville na Ferhat Abbas, rais wa kwanza wa Algeria (GPRA), ambapo walidumu kwa pamoja mpaka mwaka 1956.

Marejeo

hariri
  1. Mohammed el Aziz Kessous (1985), Guy Pervillé
  2. Anne-Marie Planel (8 Septemba 2017). Maghreb, dimensions de la complexité: Études choisies de l'IRMC (1992-2003). Institut de recherche sur le Maghreb contemporain. ku. 153–163. ISBN 978-2-8218-5048-4.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aziz Kessous kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.