Bălţi
Bălţi (tamka: bel-tsi; Kirusi Бельцы "beltsi") ni mji mkubwa wa tatu wa Moldova mwenye wakazi 126,000. Iko katika kaskazini ya nchi. Iko kilomita 135 upande wa kaskazini wa mji mkuu Chisinau.
Nchi | Moldova |
Kimo | mita 59 |
Eneo | km2 78 |
Wakazi | 144,000 |
Msongamano wa watu | 1,909.9/km2 |
Tovuti rasmi | www.balti.md |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bălţi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu: