Kishineu
(Elekezwa kutoka Chisinau)
Kishineu (kwa Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kisirili Кишинэу, kwa Kirusi Кишинёв "Kishinyev") ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Moldova wenye wakazi 600,000.
Jiografia
haririMji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando ya mto Bich (Bîc) ambao ni tawimto la Dnestr. Eneo la mji ni km² 120. Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.
Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za maigizo. Mji una viwanda vingi.
Wakazi
haririKati ya wakazi kuna vikundi vikubwa vifuatayo kufuatana na lugha:
Viungo vya Nje
hariri- Official site of Chişinău (in Romanian only)
- Old (1995) Chişinău Photo-GalleryArchived 23 Julai 2011 at the Wayback Machine. - a lot of artistic photos
- Chişinău telephone directory (primarily in Russian, some minimal content in English, French, German)
- Chişinău - Portail Moldavie Archived 18 Machi 2016 at the Wayback Machine. (in French)
- Chişinău - Magazine Moldavie Archived 14 Machi 2007 at the Wayback Machine. (in French)
- Jewish community of Chişinău
- Kishinef(Kishinev), by Rosenthal, Herman & Rosenthal, Max, in the Jewish Encyclopedia (1901-1906)
- Pro TV
- 2005 Chişinău election for mayor Archived 22 Agosti 2007 at the Wayback Machine.
Picha
hariri-
Chişinău mjini
-
Chişinău: Kituo cha Treni
-
Kitovu cha mji
-
Uwanja wa ndege Kishineu
-
Makazi mapya Kishineu
Ramani
hariri- Ramani ya Chişinău Archived 27 Januari 2006 at the Wayback Machine.
- Ramani ya Chişinău yenye picha
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kishineu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |