'Bado ni jina la wimbo uliotoka tarehe 29 Februari, 2016 uliotungwa na kuimbwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, Harmonize akiwa na Diamond Platnumz. Huu ni wimbo wa kwanza wa Harmonize kuimba na Diamond na wa pili kutoa tangu ajiunge na WCB. Wimbo umetayarishwa na Laizer Classic. Video ya muziki huu iliongozwa na Nick Roux aliyeongoza video nyingi za Wasafi.

“Bado”
“Bado” cover
Kava la Bado
Single ya Harmonize akiwa na Diamond Platnumz
Imetolewa 29 Februari, 2016
Muundo Upakuzi wa mtandaoni
Imerekodiwa 2016
Aina Bongo Flava
Urefu 4:09
Studio Wasafi Records
Mtunzi Harmonize
Diamond Platnumz
Mtayarishaji Laizer Classic
Mwenendo wa single za Harmonize akiwa na Diamond Platnumz
"Aiyola"
(2015)
"Bado"
(2016)
"Matatizo"
(2016)

Tazama pia

hariri

Viungo vya Nje

hariri