Jan - Februari - Mac
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29
Kalenda ya Gregori

29 Februari ni siku ya pekee katika Kalenda ya Gregori kwa sababu haipo kila mwaka.

Inatokea tu kila mwaka wa nne kama namba ya mwaka inagawika kwa 4 kama vile 2004, 2008, 2012. Lakini haipo tena katika kila mwaka ambao namba yake hugawika kwa 100 kama vile miaka 1800, 1900, 2100 isipokuwa ipo tena katika miaka ambayo namba hugawika kwa 400 kama vile 1600, 2000, 2400, 2800.

Ikiwepo ni siku ya sitini ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 306.

MatukioEdit

WaliozaliwaEdit

WaliofarikiEdit

SikukuuEdit

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Hilarius, Oswadi wa York, Augustino Chapdelaine n.k.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 29 Februari kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.