Wasafi Records ni studio iliyoanzishwa na mwimbaji Diamond Platnumz mwaka 2014. Studio hiyo yenye makao yake katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania inajulikana kuwa msingi wa Bongo Flava.

Wasafi Records
Imeanzishwa 2014
Mwanzilishi Diamond Platnumz
Usambazaji wa studio "WCB Wasafi"
Aina za muziki Bongo Flava
Nchi Tanzania
Mahala Dar es salaam,Tanzania
Tovuti http://wasafi.com/

Ni kati ya studio chini ya lebo ya WCB Wasafi zinazofanya vizuri nchini Tanzania. Tangu kuanzishwa hadi sasa mtayarishaji wake ni yuleyule, Laizer Classic, aliyetayarisha vibao vingi vilivyofanya vizuri Tanzania na Afrika kwa ujumla wake.

Orodha ya wasanii Edit

Orodha ya wasanii ambao wamejisajili katika Wasafi Records ni pamoja na:

Wasanii waliosainiwa na WCB Wasafi
SN Jina Ya Msanii Mwaka wa Usajili Nyimbo Meneja Wa Msanii Maelezo
1. Harmonize[1] 2015[2] Aiyola, Bado, Matatizo, Inde, Niambie, Show Me, Happy Birthday, Unaionaje, Sina, Shulala, Nishachoka, Pilipili, Kwa Ngwaru, DM Chick, Nimwage Radhi, Love You, Fire Waist Mr Puaz Zamani alikuwa na Riccardo Momo pia
2 Rich Mavoko[3][4] 2016 Ibaki Story, Kokoro, Sheri, Rudi Babu Tale,
Sallam SK
Hayupo tena WCB tangu Julai, 2018[5]
3. Queen Darleen[6] 2016 Touch, Ntakufilisi, Kijuso Babu Tale,
Saalam Sharrif
4. Rayvanny 2016 Give You All, Sugu, Natafuta Kiki, Siri,[7] Zezeta,Kwetu,Mbeleko, Chuma Ulete,Unaibiwa, Makulusa Babu Tale
5. Lava Lava 2017 Tuachane, Kilio, Dede,Utatulia, Teja, Babu Tale,
Sallam SK
6 Mbosso 2017 Nimekuzoea, Watakubali, Alele, Shida Babu Tale,
Sallam Sk
7 Zuchu 2020 Hakuna Kulala, Nisamehe, Kwaru, Wana, Raha, Ashua, Mauzauza, cheche, litawachoma, sukari
Angalizo: Wasanii wote wa WCB wana mameneja wakuu watatu, Mkubwa Fella, Sallam SK na Babu Tale. Halafu kuna mameneja wa msanii mmoja-mmoja.

Marejeo Edit

  1. Hofu ya kupotezwa na WCB ilivyomtesa Harmonize | East Africa Television (en).
  2. Harmonize (2015-11-06), Harmonize - Aiyola ( Official Video ), retrieved 2018-05-18 
  3. Rich Mavoko aelezea maisha ndani ya WCB (en). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-25. Iliwekwa mnamo 2018-06-02.
  4. "Rich Mavoko Asajiliwa Rasmi Lebo ya WCB - Global Publishers", Global Publishers, 2016-06-02. (en-US) 
  5. "Rich Mavoko ‘ aitosa’ WCB", Mwananchi (in English), 2018-07-26, retrieved 2018-08-28 
  6. Kutoka WCB Wasafi, hii video mpya ya Queen Darleen ‘Ntakufilisi’ itazame hapa – Home-Sammisago.Com (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-25. Iliwekwa mnamo 2018-06-02.
  7. Kutoka WCB Wasafi, hii video mpya ya Rayvanny Ft Nikk wa Pili ‘SIRI’ Itazame hapa – Home-Sammisago.Com (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-03-25. Iliwekwa mnamo 2018-06-02.