Bahr el Gazel (mkoa wa Chad)

Barh El Gazel (Kiarabu: منطقة بحر الغزال, Kifaransa: Région du Barh El Gazel) ni mmoja wa mikoa 23 ya Chad. Jina la mkoa pia linaweza kuandikwa kama Barh El Gazal au Bahr el Gazel. Mji mkuu wa mkoa huu ni Moussoro. Mkoa uliundwa mwaka 2008 kutoka kwa Barh El Gazel Department wa zamani wa Kanem.[1]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Présidence de la République du Tchad !!!". web.archive.org. 2010-12-18. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-18. Iliwekwa mnamo 2024-11-14.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)


  Makala hii ni sehemu ya warsha ya kuhariri Wikipedia huko MUM. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza habari.