Moussoro ni mji uliopo katika mkoa wa Bahr el-Gazel nchini Chad. Ndio makao makuu ya mkoa huo.

Moussoro ni mji mkubwa wa mwisho wa Sahel kwenye barabara ya kuelekea kaskazini mwa Chad, Afrika ya Kati.
Moussoro ni mji mkubwa wa mwisho wa Sahel kwenye barabara ya kuelekea kaskazini mwa Chad, Afrika ya Kati.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 24,564 [1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Moussoro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.