Bamba la Uarabuni
Bamba la Uarabuni ni kati ya mabamba madogo ya gandunia ya dunia yetu. Lipo chini ya rasi ya Uarabuni hadi Uturuki na tako la bara.

Bamba hilo limepakana na
Bamba la Uarabuni lilikuwa sehemu ya bamba la Afrika hadi kuachana nalo takriban miaka milioni 30 iliyopita. Lina mwendo wa polepole kuelekea Uturuki - Ulaya.