Bandari ya Faraji
Bandari ya Faraji ilikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kisiwa cha Pemba, leo nchini Tanzania, kwenye Bahari ya Hindi.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Pemba bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bandari ya Faraji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |