Orodha ya miji ya kale ya Waswahili

Orodha ya miji ya kale ya Waswahili ni orodha ya miji ya kale iliyoanzishwa na Waswahili kuanzia mwaka 800, wakati Wabantu kwenye mwambao wa Afrika mashariki walianza kuzungumza lugha ya Kiswahili na kuumba utamaduni wake, mpaka 1900[1][2][3][4][5]. Waswahili hao walianzisha miji mbalimbali kwenye mwambao na visiwa vya Afrika Mashariki.[6]

Magofu ya Pujini katika Wilaya ya Chake Chake, Tanzania.
Msikiti wa Chwaka katika Wilaya ya Micheweni, Tanzania.
Kasri la Mkama Ndume huko Pujini, Wilaya ya Chake Chake, Tanzania.
Msikiti wa Kizimkazi uliopo Dimbani, Wilaya ya Kusini, Tanzania.
Magofu ya Gedi, Kenya.
Magofu ya Tongoni katika Wilaya ya Tanga, Tanzania.
Magofu ya Kilwa Kisiwani katika Wilaya ya Kilwa, Tanzania.
Magofu ya Takwa katika Kisiwa cha Manda, Kenya.
Msikiti wa Magofu ya Msuka Mjini, Wilaya ya Micheweni, Tanzania.
Msikiti wa Mbutu Bandarini katika Wilaya ya Kigamboni, Tanzania.
Makaburi ya Mbuamaji katika Wilaya ya Kigamboni, Tanzania.
Msikiti wa Kimbiji katika Wilaya ya Kigamboni, Tanzania.

Mwambao wa Kaskazini, Kenya

hariri

Mwambao wa Kusini, Kenya

hariri

Mwambao wa Kaskazini, Tanzania

hariri

Pemba, Tanzania

hariri

Unguja, Tanzania

hariri

Mwambao wa Kusini, Tanzania

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Allen, James de Vere (Januari 1993). "Swahili Origins: Swahili culture and the Shungwaya Phenomenon". Smithsonian Heritage Collection: 1–289. Iliwekwa mnamo 4 Novemba 2021 – kutoka JSTOR.{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Horton, Mark. “The Swahili Corridor.” Scientific American, vol. 257, no. 3, Scientific American, a division of Nature America, Inc., 1987, pp. 86–93, http://www.jstor.org/stable/24979481.
  3. James De Vere Allen. “Swahili Architecture in the Later Middle Ages.” African Arts, vol. 7, no. 2, UCLA James S. Coleman African Studies Center, 1974, pp. 42–84, https://doi.org/10.2307/3334723.
  4. Spear, Thomas. “Early Swahili History Reconsidered.” The International Journal of African Historical Studies, vol. 33, no. 2, Boston University African Studies Center, 2000, pp. 257–90, https://doi.org/10.2307/220649.
  5. de Vere Allen, James (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 333-334. doi:10.2307/218047.
  6. de Vere Allen, James (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 333-334. doi:10.2307/218047.