Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (kwa Kiingereza: United Nations Human Rights Council, kifupi: UNHRC) lipo katika mfumo wa Umoja wa Mataifa. Baraza hilo (UNHRC) liliundwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuchukua nafasi ya Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (United Nations Commission on Human Rights, CHR).

Waandamanaji mbele ya makao ya Baraza la haki za binadamu

Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulianzisha UNHRC tarehe 15 Machi 2006. Baraza hili liliundwa kuibadili tume ya Haki za Binadamu ya umoja wa Mataifa kwa sababu hiyo iliziruhusu nchi zenye rekodi mbaya za utunzaji wa Haki za Bianadamu kuwa washirika.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "UN creates new human rights body", BBC, 15 March 2006. 
  2. http://daccess-ods.un.org/access.nsf/Get?Open&DS=A/60/PV.72&Lang=E

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu: