Barnard Franklin "Barney" Bentall (amezaliwa 14 Machi, 1956)[1]ni mwimbaji wa nyimbo za pop na rock kutoka Kanada ambaye anajulikana zaidi kwa bendi yake ya miaka ya 1990, Barney Bentall na the Legendary Hearts.[2][3]


Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barney Bentall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.