Barua taka

Sampuli ya barua taka.

Barua taka (kwa Kiingereza: email spam au junk email) ni barua pepe ambayo hatutaki kuipokea. Kisanduku cha barua kinatuma barua taka ndani ya kisanduku cha taka.

Kwa kawaida, barua taka hutumwa ili itangaze kitu fulani.

MarejeoEdit

  • Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.