Bathurst Island (Nunavut)

(Elekezwa kutoka Bathurst Island (Canada))

Bathurst Island (Nunavut) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kisiwa cha Bathurst(Nunavut),Kanada

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 16,042, ila hakina wakazi.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bathurst Island (Nunavut) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.