Bayern Munich

(Elekezwa kutoka Bayern München)

FC Bayern Munich, pia inajulikana kama Bayern München, ni klabu maarufu ya mpira wa miguu mjini München katika Bavaria nchini Ujerumani. klabu ilianzishwa mnamo mwaka 1900 na inawanachama wa kulipwa wapatao 104.000. Kilabu hii uchezea sana katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Allianz Arena.[1]

Nembo ya klabu ya mpira wa miguu ya Bayern Munch.


Wachezaji maarufu waliochezea klabu ya Bayern Munich mnamo 1970-2010Edit

Makocha wa klabu ya Bayern MunichEdit

Wachezaji wa klabu kwa msimu wa mwaka wa 2007/2008Edit

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bayern Munich kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.