1900
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1896 |
1897 |
1898 |
1899 |
1900
| 1901
| 1902
| 1903
| 1904
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1900 BK (Baada ya Kristo).
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
Kalenda ya Gregori | 2021 MMXXI |
Kalenda ya Kiyahudi | 5781 – 5782 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2774 |
Kalenda ya Ethiopia | 2013 – 2014 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1470 ԹՎ ՌՆՀ |
Kalenda ya Kiislamu | 1443 – 1444 |
Kalenda ya Kiajemi | 1399 – 1400 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2076 – 2077 |
- Shaka Samvat | 1943 – 1944 |
- Kali Yuga | 5122 – 5123 |
Kalenda ya Kichina | 4717 – 4718 庚子 – 辛丑 |
- 16 Februari - Albert Hackett, mwandishi kutoka Marekani
- 13 Machi - Giorgos Seferis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1963)
- 25 Aprili - Wolfgang Pauli (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945)
- 17 Mei - Ayatollah Ruhollah Khomeini aliyekuwa kiongozi wa mapinduzi ya Uajemi ya 1979
- 5 Juni - Dennis Gabor (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1971)
- 29 Juni - Antoine de Saint-Exupery mwandishi Mfaransa
- 29 Julai - Eyvind Johnson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1974)
- 25 Agosti - Hans Krebs (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953)
- 30 Oktoba - Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967
- 8 Novemba - Margaret Mitchell, mwandishi kutoka Marekani
- 3 Desemba - Richard Kuhn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1938)
WaliofarikiEdit
- 6 Machi - Gottlieb Daimler, mhandisi kutoka Ujerumani
- 7 Julai - Mtakatifu Antonino Fantosati, O.F.M., askofu Mkatoliki na mfiadini nchini Uchina
- 7 Julai - Mtakatifu Yosefu Maria Gambaro, O,F.M., padre na mmisionari mfiadini nchini Uchina
- 9 Julai - Mtakatifu Fransisko Fogolla, O.F.M., askofu Mkatoliki na mfiadini nchini Uchina
- 9 Julai - Mtakatifu Amadina, bikira Mfransisko kutoka Ubelgiji na mfiadini nchini Uchina
Wikimedia Commons ina media kuhusu: