Bayern Munich

FC Bayern Munich, pia inajulikana kama Bayern München, ni kilabu maarufu ya mpira wa miguu mjini München katika Bavaria nchini Ujerumani. Kilabu ilianzishwa mnamo mwaka 1900 na inawanachama wa kulipwa wapatao 104.000. Kilabu hii uchezea sana katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Allianz Arena.

Nembo ya kilabu ya mpira wa miguu ya Bayern Munch.

Wachezaji maarufu wa kilabu ya Bayern MunichEdit

Makocha wa kilabu ya Bayern MunichEdit

Wachezaji wa kilabu kwa msimu wa mwaka wa 2007/2008Edit

Magolikipa:

Walinzi:

Katikati:

Washambuliaji:

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bayern Munich kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.