Bea Arthur
Muigizaji wa Marekani, mwimbaji na mchekeshaji (1922-2009)
Beatrice Arthur (jina la kuzaliwa Bernice Frankel; Mei 13, 1922 – Aprili 25, 2009) alikuwa mwigizaji, mchekeshaji, mwimbaji, na mwanaharakati wa Marekani.
Bea Arthur | |
---|---|
Arthur kama Maude Findlay mnamo 1973 | |
Amezaliwa | Mei 13, 1922 |
Amekufa | Aprili 25, 2009 |
Kazi yake | mwigizaji, mchekeshaji, mwimbaji, na mwanaharakati |
Arthur alianza taaluma yake jukwaani mwaka 1947. Alishinda tuzo mbalimbali kama vile mnamo mwaka 1966 alishinda tuzo ya Tony Award for Best Featured Actress in a Musical baada ya kucheza Vera Charles katika muziki wa Mame. Aliendelea kucheza Maude Findlay kwenye sitcom ya All in the Family na kuonekana 1971-1972.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Lynn Elber, Beatrice Arthur, 86, deep-voiced star of 'Golden Girls,' 'Maude', boston.com, 26 Apr 2009.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bea Arthur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |