Belas ni moja kati ya manispaa saba zinazounda mji wa Luanda nchini Angola , kulingana na kitengo kipya cha utawala cha mkoa, nyingine kati ya manispa saba ni Luanda, Cazenga, Cacuaco, Viana, Icolo e Bengo na Quiçama.

Belas, Luanda

Belas iliundwa na mageuzi ya kiutawala yaliyopigiwa kura na bunge la Angola mnamo mwezi Machi 31, mwaka 2011.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belas, Luanda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.