Bendera ya Somaliland
Bendera ya Somaliland ina milia mitatu ya kulala ya rangi kijani, nyeupe na nyekundu.
Use | National Bendera |
---|---|
Proportion | 1:2 |
Adopted | 14 Oktoba 1996 |
Design | Kijani, nyeupe na nyekundu, na maneno ya Shahada ya Kiislamu yameandikwa ndani ya sehemu ya kijani kwa maandishi nyeupe. Nyota nyesui yenye ncha 5 iko ndani ya eneo nyeupe. |
Ndani ya mlia nyeupe kuna nyota nyeusi.
Kuna maandishi ya Kiarabu ndani ya sehemu ya kijani yanayosema "la ilaha ill-Allah, Muhammadan Rasulullah ( لا إله إلاَّ الله محمد رسول الله, Hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni mtume wa Allah).
Hii bendera ni bendera rasmi ya nchi ya Somaliland isiyotambuliwa kimataifa; iko katika kaskazini ya Somalia.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |