Benedikto wa Herbauge
Benedikto wa Herbauge (kwa Kifaransa: Benoît d'Herbauge; alifariki Herbauge, karibu na Poitiers nchini Ufaransa, karne ya 8 hivi) alikuwa padri [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |