Benjamin Netanyahu

Benjamin Netanyahu (kwa Kiebrania: בִּנְיָמִין נְתַנְיָהוּ; amezaliwa 21 Oktoba 1949) ni mwanasiasa wa Israeli aliyehudumu kama Waziri Mkuu wa nchi tangu mwaka 1996 hadi 1999, tena kuanzia mwaka 2009 hadi 2021 na tangu mwaka 2022 hadi sasa.

Benjamin Netanyahu
Benjamin Netanyahu (2009)
Benjamin Netanyahu (2009)
Tarehe ya kuzaliwa 21 Oktoba 1949)
Waziri Mkuu
Alingia ofisini 1996
Aliondoka ofisini 1999
Kazi mwanasiasa


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benjamin Netanyahu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.