Bentla D'Coth ni mwamuzi wa mpira wa miguu na mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa nchini India. [1] Ni mwanamke wa kwanza kuwa mwamuzi wa mpira wa miguu wa kimataifa kutoka Asia ya Kusini.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bentla D'Coth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.