Bernard DeVoto
Bernard De Voto (11 Januari 1897 – 13 Novemba 1955) alikuwa mwandishi na mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1948, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Across the Wide Missouri ("Ng'ambo ya Mto Missouri").
Bernard DeVoto | |
Amezaliwa | 11 Januari 1897 Utah, Marekani |
---|---|
Amekufa | 13 Novemba 1955 New York |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwandishi |
Kipindi | 1932-1955 |
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bernard DeVoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |