Bernard Joseph Nolker, C.Ss.R. (25 Septemba 191217 Januari 2000) alikuwa mwanachama wa Marekani wa Shirika la Mkombozi Mtakatifu Sana, linalojulikana kama Waredentori, ambaye alihudumu kama mmisionari nchini Brazil kwa miaka 45.

Aliwekwa kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo la Paranaguá mwaka 1963.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Most Rev. Bernard Nolker, 87, Catholic bishop in Brazil". Baltimore Sun. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 16, 2012. Iliwekwa mnamo 2010-06-08.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.