Bernhard Heine

Bernhard Heine (Agosti 20, 1800 – Julai 31, 1846) alikuwa ni mtabibu na mtaalamu wa mifupa wa Kijerumani. Yeye ndiye mgunduzi wa osteotomi, chombo kinachotumika kukata mifupa.


Viungo vya NjeEdit