Osteotomi

Osteotomi (kutoka Kiingereza "Osteotome") ni chombo kinachotumiwa hospitalini kukata mfupa. Chombo hiki hutumiwa hivi leo katika upasuaji wa kiplastiki, upasuaji mifupa na meno. Kifaa hiki kimsingi ni msumeno wa mnyororo mdogo.

Osteotomi ya mnyororo iligunduliwa na daktari wa Ujerumani Bernhard Heine mwaka 1830.