Bert Sakmann (amezaliwa 12 Juni, 1942) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza chembe hai. Mwaka wa 1991, pamoja na Erwin Neher alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Bert Sakmann
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bert Sakmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.