Erwin Neher (amezaliwa 20 Machi, 1944) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza chembe hai. Mwaka wa 1991, pamoja na Bert Sakmann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Erwin Neher
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erwin Neher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.