Betty Nambooze
Mwandishi wa habari na mwanasiasa wa Uganda
Betty Nambooze Bakireke Anajulikana kama Betty Nambooze ni mwandishi wa habari na mwanasiasa wa Uganda. Anahudumu kama mwanachama wa Bunge la Uganda, akiwakilisha Manispaa ya Mukono, iliyopo katika Wilaya ya Mukono[1].
Betty Nambooze | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Betty Nambooze Bakireke |
Alizaliwa | 13 Julai 1969 |
Nchi | Uganda |
Kazi yake | Mwandishi wa habari |
Viungo Vya Nje
haririMarejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Betty Nambooze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |