Beverly Jacques Anderson (alizaliwa 10 Septemba 1943) ni mtaalamu wa hisabati na profesa mstaafu katika Chuo Kikuu cha Wilaya ya Columbia.

Katika miaka ya 1990, alifanya kazi katika Akademia ya Taifa ya Sayansi kama Mkurugenzi wa Programu za Wachache kwa Bodi ya Elimu ya Sayansi za Hisabati, na aliongoza programu ya Making Mathematics Work for Minorities.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Cherished Memories". www.iuniverse.com. Iliwekwa mnamo 2019-03-23.
  2. "Sturdy House of Cards The Jacques Sisters of New Orleans Play the Hand That Life Dealt Them", 2006-08-30. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beverly Anderson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.