Bielefeld

Bielefeld ni jiji lililopo mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Ujerumani. Jiji lipo katika jimbo la Rhine Kaskazini - Westfalia. Mji wa Bielefeld una wakazi wapatao 330,000 wanaoishi mji hapa. Mji pia una Chuo Kikuu cha Bielefeld.

Mji wa Bielefeld
Bielefeld

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Ujerumani" does not exist.Mahali pa Bielefeld katika Ujerumani

Majiranukta: 52°01′00″N 08°31′00″E / 52.01667°N 8.51667°E / 52.01667; 8.51667
Nchi Ujerumani
Jimbo Rhine Kaskazini - Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - 323,084
Tovuti: http://www.bielefeld.de/en/

Tazama piaEdit

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Picha
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bielefeld kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.