Big Daddy Weave
Big Daddy Weave ni bendi la nyimbo zakisasa za Kikristo linalojumuisha Mike Weaver, Jay Weaver, Jeremy Redmon, Jeff Jones na Joe Shirk. Nyimbo zao maarufu ni : Everytime Time I Breathe, Audience of One,In Christ,Fields of Grace,Without You na What Life Would Be Like Bendi lao lilitia saini mkataba na studio ya Fervent Records.
Big Daddy Weave | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Mobile, Alabama |
Aina ya muziki | Kikristo Nyimbo za Kikristo za Kisasa |
Kazi yake | Mwanamuziki |
Miaka ya kazi | 2002 hadi sasa |
Studio | Fervent Records |
Tovuti | Tovuti Rasmi |
Wanachama wa sasa | |
Mike Weaver Jay Weaver Jeremy Redmon Jeff Jones Joe Shirk |
Historia
haririWanachama wa bendi walikutana walipokuwa katika Chuo Kikuu cha Mobile. Mike Weaver alikuwa amehusika kama kiongozi wa ibada katika kanisa Pensacola,Florida na akasoma katika chuo kikuu cha jamii kilichokuwa katika eneo hili. Alienda chuo kikuu baada ya kushawishiwa na mchungaji wa kanisa lao, akaenda kusomea sauti.
Katika miaka yote miwili ya 2006 na 2007, Big Daddy Weave ilienda ziara na Mark Schultz iliyoitwa ziara ya Broken and Beautiful. Katika mwaka wa 2009, waliandamana na mwanamuziki maarufu ,{[Josh Wilson]] katika ziara ya What Would Life Be Like.
Wanachama wa Bendi
haririWanachama wa bendi hii ni:
- Mike Weaver - mchezaji wa gitaa,mwimbaji kiongozi (1998-hadi leo)
- Jay Weaver - mchezaji bass gitaa, mwimbaji (1998-hadi leo)
- Jeremy Redmon - mchezaji gitaa, mwimbaji msaidizi (1999-hadi leo)
- Jeff Jones - mchezaji ngoma (1999-hadi leo)
- Joe Shirk - mchezaji wa saksafoni na piano (1998-hadi leo)
Baadhi za nyumba za wanachama wa Big Daddy Weave ziliharibika katika Kimbunga Ivan cha mwaka wa 2004. Nyumba ya wazazi wa Mike na Jay Weave,iliharibiwa huko Gulf Breeze,Florida.Nyumba hiyo ndiyo iliyokuwa na ofisi za bendi hilo.
Diskografia
haririAlbamu za Studio
haririMwaka | Albamu | # ya juu kabisa katika chati | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Marekani Billboard |
Marekani Albamu bora za Kikristo |
Marekani Chati ya Heat |
Marekani Chati ya Albamu za kujitegemea |
Marekani Chati ya Albamu za likizo | ||||
2001 | Neighborhoods
|
— | — | — | — | — | ||
2002 | One and Only
|
— | — | — | 22 | — | ||
2003 | Fields of Grace
|
177 | 8 | 7 | — | — | ||
2005 | What I Was Made For
|
— | 14 | 17 | — | — | ||
2006 | Every Time I Breathe | — | 18 | 10 | — | — | ||
2008 | What Life Would Be Like
|
— | 15 | — | — | — | ||
2009 | Christ is Come
|
— | — | — | — | 5 | ||
"—" albamu ambayo haikufika kwenye chati. |
Video ya Nyimbo
hariri- Every Time I Breathe (26 Julai 2006)
Albamu wlioshirikishwa
hariri- WOW Worship Yellow - Audience of One (2003)
- WOW Worship Red - Word of God Speak (2004)
- WOW Hits 2006 - You're Worthy Of My Praise (2005)
- WOW Hits 2007 - Without You (2006)
- WOW Hits 2008 - Every Time I Breathe (2007)
- WOW Worship Aqua - Let It Rise (2006)
- The Nativity Story: Sacred Songs]] - The Virgin's Lullaby (2007)
- WOW Hits 2010 - What Life Would Be Like (2009)
Nyimbo zao
hariri- Just the Way I Am (2006)
- Without You (2006)
- Let It Rise (2006)
- Every Time I Breathe (2007)
- What Life Would Be Like (2008)
- You Found Me (2009)
- We Want the World to Hear (2009)
Tuzo
hariri- Walishinda miaka mbili mfululizo katika tuzo ya ASCAP ya Muziki ya Kikristo ya 2003 na 2004
- Kuchaguliwa kama washindani wa tuzo ya Dove ya 2002 ya Waimbaji wapya wa mwaka
Mafanikio
hariri- Audience of One- mojawapo wa nyimbo 25 za ASCAP zilizochezwa katika mwaka wa 2003.
- Walihusishwa katika Dove Hits (2003)
- Wakahusishwa katika albamu ya WOW Worship Yellow
- Wimbo wa In Christ ulikuwa kwenye chati ya R&R AC kwa wiki 24,ukiwa # 2 wakati fulani,huu ndio wimbo pekee yake wa mwimbaji mpya uliofanikiwa sana katika mwaka wa 2002.
- In Christ - mojawapo wa nyimbo 25 za ASCAP zilizochezwa katika mwaka wa 2002.
- Albamu ya kwanza, One And Only, iltokea katika chati ya SoundScan ya Kikristo ya nyimbo 5.Nambari bora kabisa kwa waimbaji wapya wa mwaka wa 2002.
- One And Only - ulibaki katika chati ya SoundScan ya Kikristo ya nyimbo 20 kwa wiki 6.
Marejeo
hariri- "Weave In, Weave Out". Collegebound: A Supplement to CCM Magazine: 26–27. Machi 2007. ISSN 48 1524-78 48
- Big Daddy Weave