Askari

(Elekezwa kutoka Mwanajeshi)

Askari ni mtu ambaye anahusika na mambo ya ulinzi na usalama katika nchi, pia hufanya kazi hiyo kama sehemu ya jeshi.

Askari wa Kihindi.
Askari wa kike wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kulingana na Umoja wa Mataifa, asilimia 30 ya askari duniani ni wanawake.

Askari anaweza kuwa mtu aliyechaguliwa, afisa asiyeagizwa, au afisa wa jeshi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Askari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.