Bisola Aiyeola

Muigizaji wa Nigeria

Bisola Aiyeola (alizaliwa 21 Januari 1986) ni muigizaji na mwimbaji wa Nigeria ,mwaka 2017, Bisola alikuwa mshindi wa kwanza katika mashindano ya Big Brother Naija.[1] mwaka 2018, alishinda tuzo ya AMVCA Trailblazer Award.[2]

Bisola Aiyeola

Bisola kwenye AMVCA 2020
Amezaliwa Abisola Aiyeola
21 Januari 1986 (1986-01-21) (umri 38)
Nigeria
Kazi yake Muigizaji,mwimbaji

Elimu hariri

Bisola alisoma katika chuo kikuu cha National Open University of Nigeria akisomea usimamizi wa biashara [3]

Taaluma hariri

Aiyeola alianza kuonekana katika Big Brother Nigeria mwaka 2017 .[4][5] Aiyeola alikuwa ni mmoja wa washiriki katika shindano la MTN Project Fame West Africa katika mwaka 2008 ambapo Iyanya alishinda.[6]

Mwaka 2018, Bisola alishinda tuzo ya Trail Blazer Award .[7]

Maisha Binfasi hariri

Aiyeola alipata mtoto wa kike.[8] mwezi Agosti 2018, baba wa mtoto yake aliaga dunia .[9]

Marejeo hariri

  1. "Bisola Aiyeola Inspires Fans With Lessons From Mistakes". Concise News. Concise News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-27. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Bisola Aiyeola Wins Brand New Car at AMVCA 2018". Iliwekwa mnamo 2018-09-04. 
  3. "BisolaAiyeola profile". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-09-01. Iliwekwa mnamo 2020-11-02. 
  4. "Video: I feel betrayed, says Bisola runner up #BBNaija". Vanguard Nigeria. Vanguard Nigeria. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Big Brother Naija: Real reason Efe defeated Bisola, Tboss – Reuben ...". Daily Post Nigeria. Daily Post Nigeria. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "mtn project fame". 
  7. "Award". 
  8. "Bisola Aiyeola Inspires Fans With Lessons From Mistakes". Concise News. Concise News. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-27. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  9. "Popular Nollywood Actress Bisola Aiyeola loses Baby Daddy .". Guardian Nigeria. Guardian Nigeria. Iliwekwa mnamo 28 August 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bisola Aiyeola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.