21 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Januari ni siku ya ishirini na moja ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 344 (345 katika miaka mirefu).
Matukio
hariri- 1276 - Uchaguzi wa Papa Innocent V
Waliozaliwa
hariri- 1821 - John Breckinridge, Kaimu Rais wa Marekani (1857-1861)
- 1851 - Mwenye heri Yosefu Allamano, padri mwanzilishi nchini Italia
- 1912 - Konrad Bloch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 1960 - Job Yustino Ndugai, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
hariri- 1118 - Papa Paskali II
- 1896 - Phan Dinh Phung, mwanamapinduzi wa Vietnam
- 1924 - Vladimir Lenin, dikteta wa Umoja wa Kisovyeti
- 1926 - Camillo Golgi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1906
- 1950 - George Orwell, mwandishi Mwingereza kutoka India
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Agnes, Publio wa Athene, Frutuosi, Auguri na Euloji, Patroklo wa Troyes, Epifanio wa Pavia, Meinradi, Zakaria wa mlima Mercurio, Albano Roe, Yohane Yi Yun-il n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |